- 2,981 viewsDuration: 2:16Mzozo wa kinyumbani uligeuka kuwa wa maafa katika mtaa wa Kiganjo,Thika watu wanne wa familia moja wakiaga dunia. Inasemekana Baba wa familia hiyo alimwagia asidi mkewe na watoto wake wawili kabla ya kujiwagia asidi hiyo. Wanne hao walifariki hospitalini wakipokea matibabu.