2 Jan 2026 4:26 pm | Citizen TV 4,687 views Duration: 5:51 Watu wawili wanahofiwa kufariki baada ya jengo la kuporomoka mapema leo mtaani south c. Hivi sasa oparesheni ya kuwatafuta wawili hao katika vifusi vya jengo hilo inaendeshwa na maafisa wa jeshi wakishirikiana na polisi