Skip to main content
Skip to main content

Wauaji wa Dkt. Victoria Mutiso waliahidiwa Sh1.5 milioni

  • | Citizen TV
    23,899 views
    Duration: 3:15
    Sasa imebainika kuwa watu waliohusika na mauaji ya Daktari wa akili Victoria Mutiso walikuwa wameahidiwa malipo ya Sh1.5 milioni. Ufichuzi huo unatokana na uchunguzi unaoendelea kuhusu mauaji hayo, huku gari jingine lililoibwa likipatikana katika ardhi tata iliyohusishwa na mauaji hayo. Polisi bado wanawatafuta maafisa wawili wa polisi wanaodaiwa kuhusishwa na mauaji hayo na ambao wako mafichoni.