- 248 viewsDuration: 1:32Wakazi wa King’eero eneo bunge la Kabete kaunti ya Kiambu wanatoa wito kwa mamlaka husika kuweka mikakati ya usalama ili kupunguza matukio ya watu kuzama katika bwawa la Gataara. Ombi hilo linajiri siku moja baada ya wavulana wawili kuzama huku huzuni ukitanda katika kijiji hicho. Wakazi sasa wanataka bwawa hilo liwekwe ua ili kuhakikisha usalama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive