Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi Budalang’i wahofia kuachana na uvuvi kutokana na gharama ya mafuta

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 3:47
    Wavuvi katika eneo bunge la Budalang’i wameeleza wasiwasi kwamba huenda wakalazimika kuacha shughuli ya uvuvi kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta. Wanasema gharama kubwa za uendeshaji zimeathiri pakubwa shughuli zao na kupunguza faida inayotokana na biashara hiyo.