8 Dec 2025 11:17 am | Citizen TV 224 views Duration: 2:04 Jumla ya makundi 10 ya wavuvi na wafanyabiashara wa baharini eneo la Msambweni katika kaunti ya Kwale wamepokea mafunzo ya kutunza kasa ambaye anaaminika kuwa kwenye hatari ya kupungua idadi yake.