- 348 viewsDuration: 1:37Kundi la vijana wanaowania nyadhifa mbalimbali katika baraza la kitaifa la vijana linataka uchaguzi wa baraza hilo kurejelewa mara moja, baada ya kusitishwa kufuatia ombi lililowasilishwa mahakamani. Vijana hao wanasema kucheleweshwa kwa uchaguzi huo kumewanyima vijana fursa ya kuwachagua viongozi watakaowawakilisha na kutetea maslahi yao. Uchaguzi huo ulitarajiwa kufanywa tarehe tisa mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive