Skip to main content
Skip to main content

Wazazi waandamana katika shule ya msingi ya Kaburwet

  • | Citizen TV
    258 views
    Duration: 1:48
    Wazazi pamoja na wadau katika ya shule ya msingi ya kaburwet katika wodi ya lwandanyi eneobunge la sirisia kaunti ya bungoma wametishia kufunga shule hiyo kutokana hali mabovu ya miundo msingi . Wazazi hao wanadai kuwa tangu ujio wa mwalimu mkuu wa sasa hakuna maendeleo yanayoshudiwa katika shule hiyo hali ambayo imefanya masomo kudorora.