Skip to main content
Skip to main content

Wazazi waandamana kutokana na matokeo duni katika shule ya Chemwokter, Narok

  • | Citizen TV
    231 views
    Duration: 2:06
    Shughuli za masomo zilitatizika kwa muda katika shule ya msingi na upili ya Chemwokter ilioko wadi ya ilmotiok Narok magharibi baada ya wazazi waliokuwa na hamaki kuandamana hadi shuleni humo na kuamuru ifungwe mara moja.