Skip to main content
Skip to main content

Wazazi watahadharishwa dhidi ya kuwaoza binti wao mapema

  • | KBC Video
    100 views
    Duration: 2:19
    HAKI YA MTOTO Wadau na viongozi katika kaunti ya Samburu wametahadharisha wakazi dhidi ya kuwaoza binti wao mapema wakionya kwamba yeyote atakeyepatikana akiendeleza tamaduni hiyo potovu atachukuliwa hatua za kisheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive