- 1,005 viewsDuration: 1:11Katika kuadhimisha siku ya Mashujaa, wazee kutoka Kaunti ya Kirinyaga wamepata msaada wa bidhaa muhimu za matumizi kutoka kwa ushirikiano na shirika la Together As one katika juhudi za kuwaleta pamoja na kuwatambua wazee kwa mchango wao katika jamii.