Skip to main content
Skip to main content

Wazee kutoka jamii ya Wamaasai watuzwa kwa mchango wao katika kuhifadhi wanyamapori

  • | NTV Video
    241 views
    Duration: 2:01
    Serikali ya kaunti ya Kajiado imewatuza wazee kutoka jamii ya Wamaasai kwa mchango wao katika uhifadhi wa wanyamapori na mapambano ya kurejesha usimamizi wa hifadhi ya taifa ya Amboseli kwa wananchi wa eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya