Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa jamii ya Maa Kajiado waunga mkono chama kipya cha FEDA

  • | Citizen TV
    5,655 views
    Duration: 2:07
    Baadhi ya Wazee wa jamii ya Maa katika Kaunti ya Kajiado wameunga mkono chama kipya cha Freedom and Equality, FEDA, wakisema chama hicho kitatumika kuiweka jamii hiyo kwenye meza ya mazungumzo na vyama vingine vya kisiasa nchini.