Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruko akosoa kauli za Rigathi Gachagua kuhusu viongozi

  • | Citizen TV
    657 views
    Duration: 2:14
    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amkashifu kinara wa DCP Rigathi Gachagua kwa kile akitajacho kama kuwadunisha Kinara wa chama cha DP Justin Muturi, mwenzake wa PNU Peter Munya na Lenny Kivuti wa DEP. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara huko Kiritiri, eneobunge la Mbeere South, Ruku alisema Gachagua awakosea heshima viongozi hao na kuwaalika kufanya kazi naye naibu rais Profesa Kithure Kindiki ili kuendeleza eneo la mlima kenya.