Skip to main content
Skip to main content

Wiki ya Urekebishaji tabia yafikia kikomo

  • | KBC Video
    198 views
    Duration: 1:36
    Waziri wa utalii Rebecca Miano amesema serikali imejitolea kuboresha huduma kwa wananchi, kutumia uvumbuzi na kukuza maendeleo endelevu. Miano alizungumza jana wakati wa dhifa ya jioni ya kuhitimisha wiki ya huduma za magereza ya mwaka huu, ambapo idara ya serikali inayosimamia huduma za magereza iliwatunuku baadhi ya wafanyakazi wake kwa kufanya kazi kuntu katika uvumbuzi, matumizi mwafaka ya fedha, matumizi ya teknolojia na mbinu zinazolinda mazingira. Katibu katika huduma za magereza Dkt. Salome Beacco aliyeandaa hafla hiyo amesema kutambuliwa kwa wafanyakazi hao kunadhihirisha kuwa matokeo yanaweza kuafikiwa kupitia kujituma, nidhamu na ushirikiano kazini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive