Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya elimu yaongeza muda wa wanafunzi wa gredi ya 10 kuripoti shuleni

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 2:06
    Wizara ya elimu nayo sasa imetangaza kuongezwa kwa muda wa wanafunzi wa gredi ya kumi kufika shuleni kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekosa kuendelea na masomo. Katibu wa elimu Julius Bitok aliyezungumza alipozuru shule ya Alliance kaunti ya Kiambu, amewataka wazazi kuchukua jukumu kubadili shule za watoto wao endapo kulikuwa na tashwishi yoyote.