7 Aug 2026 10:20 am | Citizen TV 4,372 views Duration: 2:05 Zaidi ya familia 30 katika eneo la Phase 4, Mlolongo, Kaunti ya Machakos, zasema zaishi kwa hofu ya kufurushwa kwa nguvu na watu wadaiwao kuwa wavamizi wa ardhi wanaosaidiwa na baadhi ya maafisa wa polisi wa eneo hilo.