The People

 • 19 Jan 2017 - Askofu mstaafu Eliud Wabukhala sasa ndiye mwenyekiti mpya wa tume ya ufisadi EACC. Hiyo ni baada ya rais Uhuru Kenyatta kumteuwa rasmi Wabukhala kuhdumu wadhifa huo. Kupitia tangazo lilochapishwa katika gazeti rasmi ya serikali, Uhuru ameridhia uamuzi wa bunge la...
 • 19 Jan 2017 - Mahakama ya Kabarnet imemuhukumia kifungu cha miaka 10 gerezani baba wa watoto wanne kwa kosa lakumbaka bintiye wa miaka 13. Mshukiwa Chirpinus Chebob anadaiwa kumbaka bintiye mara kadhaa mwezi septemba mwaka jana madai aliyoyakana. Hata hivyo hakimu mkuu Ezra Ayuka...
 • 19 Jan 2017 - Eikilikwana enkakeshani olorika loontomonok te kaunti e Narok Rebecca Tonkei iltung’anak pooki peipang’u adung kura tena rishata eponita edung’oto dukuya toolubot pooki tele oshao le Kenya, elimu naa ajo kura elong’o namitunyie oltung’anai kewan. Ilomon naa kulo...
 • 19 Jan 2017 - Wajumbe wa KANU ndio watakaoamua mustakabali utakaochkuliwa na chama uchaguzi mkuu ukikaribia. Mwenyekiti wa chama hicho seneta Gideon Moi amesema chama hicho bado hakijaamua endapo kitaunga mkono Jubilee au muungano wa NASA kwenye uchaguzi huo. Moi amesema kwa sasa...
 • 19 Jan 2017 - Chama cha Wiper democratic kimeitaka tume ya uchaguzi na mipaka kuhakikisha zoezi la usajili wa wapiga kura linaloendelea halihujumiwi na hitilafu ya mitambo ya BVR. Akizungumza baada ya mkutano wa chama hicho hapa Nairobi, katibu mkuu Seneta Hassan Omar amesema kuna...
 • 19 Jan 2017 - Rais Barack Obama wa Marekani amekuwa na mkutano wake wa mwisho na waandishi habari ikulu mjini Washington, tukio la mwisho la shughuli zake rasmi , kabla ya kumkabidhi madaraka rais Mteule Donald Trump. Obama aligusia juu masuala ya kimataifa, akisema ana wasiwasi...
 • 19 Jan 2017 - Minista wa utaburukia wa mahinya Mwangi Kiunjuri niahithuritie ati Onyango Oloo arorire kiama kia Jubilee niguo dakahingurirwo thitango niundu wa ciiko cia ungumania riria atongoragia kiama kia TNA. Onyango Oloo muthenya wa ira niaraniriire kuthama kuma kiama kia...
 • 19 Jan 2017 - Serikali ya Djibouti imetangaza kuunga mkono azma ya balozi Amina kuchaguliwa mwenyekiti mpya wa jumuiya ya Afrika, AU. Waziri wa mambo ya kigeni wa Djibouti Mahmoud Ali Youssouf amemtaja bi Amina kama mgombea bora na mwenye tajriba ya kuleta mabadiliko zaidi katika...
 • 19 Jan 2017 - Eibalie olopisaai oduaaya eramatare onkera te kaunti e Narok Julius Ngoko nchere etoponari esiana onkera nemeeta imanyisho teilo duka le Narok aa street childrens yiolot enaa chokoraa. Elimu naa ajo elelek aa mbaa olameyu naitanyamala enkumoi enye toong’ang’itie enye...
 • 19 Jan 2017 - Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC inachunguza hatua ya kutumika nambari ya kitambulisho cha kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka kumsajili mwanamke kwa jina Susan Wanjiru Njoroge. Kwenye taarifa IEBC inasema imepokea taarifa za kutumika nambari za vitambulisho za watu...
 • 19 Jan 2017 - Itagaria ria Rais Uhuru Kenyatta ria gutiga County ya Tharaka Nithi ndiungene iria athithitie nteere cia Gikuu na Meru niritite na mbere kujukirua na njira mwanya mwanya ni antu County iu. MCA wa Mukothima Gataya Mo Fire ariuga Tharaka Nithi iri imwe ya County iria...
 • 19 Jan 2017 - Mwanamume wa miaka 50 kaunti ya Trans Nzoia anazuiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa umri wa miaka 9. Mshukiwa anadaiwa kumhadaa mwathiriwa kwa shilingi tano kabla ya kumfanyia mtoto huyo unyama huo. Chifu wa eneo hilo Fridah Mandata anasema anachunguzwa...
 • 19 Jan 2017 - Waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjuri amekosoa hatua ya aliyekuwa katibu wa TNA Onyango Oloo kugura Jubilee na kumtaja kama msaliti. Kiunjuri anadai kuna baadhi ya maswala fiche Oloo alijihusisha nayo wakati akihudumu katika chama cha TNA. Anasema uchunguzi umeanzishwa na...
 • 19 Jan 2017 - Keidimayu nenyamalu enkitengenare tosukuulini pooki e universities eiteru enkolong etaata tenkaraki ormugomo lolmwalimuni a lecturers. Eibalie naa naboisho o lelo mwalimuni e UASU tenebo KUSU nchere keas ormugomo tenkaraki natanya serkali eitabaya orningo otipika o...
 • 19 Jan 2017 - Kamiti ya migunda ya NLC niihanyukite guteithura ndugamano ya mugunda gatagati ka arimi na gitang’a kimwe mwena wa Naivasha. Kamiti ya NLC irauga niikuruta riboti ihinda-ini ria kiumia kimwe, iguru wa mugunda wa acre 1,000 thiini wa Ndabibi, kuria gukoretwo na...
 • 19 Jan 2017 - Wakati huo huo wanafunzi wa taaluma ya matibabu katika chuo kikuu cha Nairobi wamefanya maandamano kuishinikiza serikali kutatua mgomo wa madaktari unaoendelea. Wanafunzi hao wanalalama kuwa masomo yao yameathirika pakubwa kutokana na mgomo huo.. The post Wanafunzi...
 • 19 Jan 2017 - Mgomo wa wahadhri na wafanyikazi wa vyuo umeanza rasmi hii leo kote nchini huku hapa Mombasa  wanachama wa vyama vya UASU, KUSU  na KUDHEA wakikutana kwenye vyuo vyao kuanza rasmi  mgomo huo. Katibu mkuu wa muungano wa KUSU Katika Chuo Kikuu Cha Technical University...
 • 19 Jan 2017 - Operations in 33 Public Universities countrywide have today been disrupted after lecturers downed their tools despite a court order barring them from doing so . Kenya University Staff Union (KUSU) and University Academic Staff Union (UASU) on Wednesday officially...
 • 19 Jan 2017 - Three Kenya Power officials were arrested and later released on police bail after a team from Kenya Power and the police who were working on a tip off, happened upon a huge cache of transformer shells and assorted conductors buried in the red hill area of Limuru,...
 • 19 Jan 2017 - The man who won The Gambia's disputed election says he will be sworn in as president at the country's embassy in neighbouring Senegal. The message, posted on Adama Barrow's social media accounts, invited the general public to attend the ceremony. Last-ditch efforts by...
 • 19 Jan 2017 - Accidents around the country have dropped by 3 percent with the National Transport and Safety Authority intensifying the road safety campaigns. NTSA’s hassan hareed confirmed that maimahiu-narok- bomet highway has recorded fewer accidents this time around as compared...
 • 19 Jan 2017 - Registration of voters in all parts of the country entered its fourth day Thursday as the battle for the numbers between Jubilee and the opposition gathers momentum . Even as IEBC fretted over the low numbers, Jubilee and Opposition leaders continued to traverse the...
 • 19 Jan 2017 - A 32 year old man from Sigalagala Village ,Kakamega county has died after allegedly suffocating while digging a 108 metre deep well. According to the locals, the late Francis Shikokoti, a father of two was deprived of air while digging the well, hence leading to his...
 • 19 Jan 2017 - Wanasiasa wameonywa dhidi ya kutumia nembo na kibwagizo cha IEBC wanapoendesha kampeni za kujipigia debe. Afisa mkuu mtendaji wa IEBC, Ezra Chiloba amesema wengi wa wanasiasa wameanza kutumia nembo za IEBC katika kusaka kura akisema hali hiyo huenda ikaleta dhana ya...
 • 19 Jan 2017 - Minister wa migunda bururini Jacob Kaimenyi nieriire muingi wa bururi ati taito cia kuma mwaka wa 2013 ni ciama na ti nganje mugaru na muhuhu uria uratheremetio hau kabere. Kaimenyi niagiire kiene itua ria igoti riria riracabithitie itangatho riu ngathiti-ini imwe...
 • 19 Jan 2017 - Thirikari niyuritio itacukie makinya ma naihenya hari kunina githagathago kiria kigumiire arimi aria maragagio ni ariithia a mahiu, aria marariithia migundaini yao Laikipia. Uria wari mubunge wa Laikipia west Nderitu Muriithi na uria waniriire kuhuranira ugovernor...
 • 19 Jan 2017 - Kenare neishori ilpayiani lenkaji emaa erishata naingorunye naitekinye iltunganak osotua tolmanie le transmara tenkaraki ilarrabali oishakenoyioki terishata naado. Ore erikoo olarikoni Kasaine Ole Esho neibalie naa lelo payiani kituak lenkaji emaa ajo keishia neisho...
 • 19 Jan 2017 - Mutongoria wa kiama kia Wiper Kalonzo Musyoka augite kuri na gutukanio kwa namba cia ibandi kuria ni ugwati hari mihang’o ya kwandikithia aikia a kura. Uu ni thutha wake kuheyana namba ya kibandi ceceni-ini ya wandikithia wa kura mwena wa Wajir, na gukorwo namba iyo...
 • 19 Jan 2017 - Eikilikwana coordinator lolkioma le ODM te Narok yioloti enaa Kaza Roho iltung’anak pooki peeipang’u edung’ito nkurai enye elimu ajo ninye ake enaret naidim ateng’elu ilarikok onarikino tiatua nkishu Ore naa eyia neijia neibalie naa Kaza roho nchere meishia nedung’...
 • 19 Jan 2017 - Mtu mmoja amefariki huku wengine wengi wakisalia na majeraha baada ya kuhusika katika ajali eneo la mambo leo mjini Kisumu. Ajali hiyo imehusisha malori mawili yaliogongana ana kwa ana kwenye barabara hiyo ya Kisumu kuelekea Kakamega. Mshirikishi wa Nyanza Andrew...

Pages