- 46,745 viewsDuration: 7:23Kwa mara ya kwanza, Rais William Ruto amezungumzia kwa uwazi changamoto za kiafya za hayati Raila Odinga muda mfupi kabla ya kifo chake. Kwenye hafla ya mazishi ya mwendazake Raila, Rais Ruto alisimulia siku dhifa ya chajio na familia ya Raila Odinga, ambapo waliafikia asafirishwe hadi nchini India kwa matibabu. Rais Ruto kadhalika alizungumzia matumaini kuwa Raila angerejea salama na taarifa za kuvunja moyo kuhusu kifo chake