Skip to main content
Skip to main content

Familia yamkumbuka Raila kama baba mwenye upendo na moyo mkubwa

  • | Citizen TV
    913 views
    Duration: 4:48
    Marehemu Raila Amollo Odinga alikuwa na taswira nyingi tofauti.Alikuwa mpigania uhuru, mwanasiasa mashuhuri, mzalendo, na uso wa mapambano marefu ya Kenya kwa ajili ya demokrasia. Lakini kama anavyoripoti Mary Muoki, na huku wakimpa buriani ya mwisho, na kutaja maisha yake na safari yake ya kisiasa, familia yakae pia ilimkumbuka kama babab aliyependa familia yake, kaka, mjomba, babu, na rafiki, mtu ambaye moyo wake ulikuwa mkubwa kama maono yake kwa taifa. Mtu ambaye, licha ya majukumu makubwa ya kisiasa, alitenga muda kwa familia yake