- 2,956 viewsDuration: 4:29Upande mwingine baadhi ya wanasiasa walitaka makini kwa chama cha ODM hata unapoendelea na ushirikiano wake na serikali. Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna sasa akitaka mkataba wa makubaliano kati ya ODM na UDA kuangaliwa upya. Aidha kwenye matamshi yaliyojaa majazi ya siasa za ODM, magavana James Orengo na Simba Arati pia walionekana makini kwenye matamshi yao