- 1,365 viewsDuration: 3:35Siasa za chama cha ODM zilisheheni katika mazishi ya hayati Raila Odinga huko Bondo, huku viongozi wa chama hicho wakiapa kuimarisha chama hicho na kushirikiana na Rais William Ruto. Rais William Ruto pia naye akionekana kuingilia siasa za mustakabali wa ODM baada ya kifo cha Raila Odinga akisema chama hicho kitabuni serikali ijayo. Baadhi ya wandani wa raila wameapa kulinda odm kwa hali na mali kuhakikisha inasalia imara