- 969 viewsDuration: 5:23Miongoni mwa viongozi waliomkumbuka Raila Odinga walipompa mkono wa buriani kwenye mazishi ya leo ni wandani wake wa zamani wa kisiasa akiwemo mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka. Waliozungumza wakionyesha ushupavu na ukomavu wa Raila kwenye siasa za Kenya