- 992 viewsDuration: 4:03Waombolezaji waliofika kumzika Raila Odinga walifahamishwa namna alivyokuwa muumini wa kujitolea wa kanisa la kianglikana. Askofu wa kianglikana wa dayosisi ya Bondo David Kodia akieleza namna ubatizo wa Raila ulivyozua utata kutokana na kukosa kwake jina la kingereza na badala yake babake kumpa jina la kiluo