- 1,001 viewsDuration: 3:06Uwanja wa chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga leo ulifurika maelfu ya watu waliohudhuria ibada ya wafu ya marehemu Raila Odinga. Hafla hiyo iliyoongozwa na kanisa pia ilisheheni itikadi za kitamaduni ambapo wazee wa jamii walifanya matambiko