- 671 viewsMakamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Jumatano amekubali kushindwa katika uchaguzi wa urais, akimpigia simu Rais wa zamani Donald Trump, kumpongeza kwa ushindi wake na kuwaambia wafuasi wake kwamba si wakati wa kumaliza vita vya kutetea maono ya kimaendeleo kwa nchi hiyo. “Ni sawa kusikia huzuni na kukata tamaa,” aliuambia umati wa watu katika Chuo Kikuu cha Howard, hapa Washington, chuo alicho somea. Mgombea huyo wa chama cha Demokrat amesema mapambano yataendelea katika kura, mahakamani na majukwaa ya umma. Trump ameshinda uchaguzi wa Jumanne na kuwa rais wa 47 wa nchi hiyo huku akitwaa takriban majimbo matano kati ya saba muhimu ya ushindani na alikuwa akiongoza katika mengine mawili wakati hesabu za kura zikiendelea. Trump na makamu wake JD Vance, wataingia madarakani Januari 20 kwa muhula wa miaka minne. #rais #donaldtrump #kamalaharris #wafuasi #voaelections #voaelections2024
Kamala ampongeza Trump, aeleza kanuni ya msingi ya demokrasia
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off
- 6 Aug 2025 - MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
- 6 Aug 2025 - If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children