- 1,218 viewsRais Joe Biden Alhamisi aliwasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumanne, ambapo Rais wa zamani Donald Trump alimshinda mrithi wa Biden, Makamu Rais Kamala Harris. Ameahidi kukabidhi madaraka kwa Trump, ambaye anachukua hatamu za uongozi, ambaye aliwashawishi wafuasi wake kuandamana hadi kwenye jengo la bunge wakati wajumbe walipokuwa wanarasimisha ushindi wa Biden 2020. Rais Joe Biden jana Alhamisi aliahidi kukifanya kipindi cha mpito cha mrithi wake Rais mteule Donald Trump kuwa na utaratibu mzuri. Pia ameomba umoja baada ya kushindwa kwa mgombea aliyempendelea, Makamu Rais Kamala Harris. Joe Biden, Rais wa Marekani: “Watu wamepiga kura na kuchagua viongozi wao, na walifanya hivyo kwa amani. Sisi tuko katika demokrasia, nia ya watu siku zote ndiyo inashinda.” Trump, katika hotuba yake ya ushindi siku moja kabla, pia alisisitiza umoja, wakati akielezea njia ya wazi miongoni mwa wapiga ambayo imempa yeye ushindi mzuri. #rais #donaldtrump #kamalaharris #wafuasi #voaelections #voaelections2024
Rais Biden awasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban