Wavuvi kutoka Lamu watahadharishwa kuhusu mawimbi hatari baharini

  • | Citizen TV
    389 views

    Huku msimu wa mvua na upepo ukitarajiwa kaunti ya Lamu, wavuvi wa lamu wameshauriwa kuchukua tahadhari wanapoenda baharini kuvua samaki na kuhakikisha wamevaa majaketi ya uokozi .haya yanajiri huku matukio ya watu  kuzama baharini yakiendelea kushuhudiwa kufuatia upepo unaovuma kwa kasi na mawimbi makubwa