Magavana kutoka Nyanza walalamikia kucheleweshwa kwa hazina kuu ya kitaifa

  • | Citizen TV
    301 views

    Magavana kutoka nyanza wamelalamikia kucheleweshwa kwa hazina kuu ya kitaifa wakisema hali hiyo imelemaza shughuli katika serikali za kaunti. Wakiongozwa na Mwenyekiti wao Profesa Anyang Nyong'o amesema serikali ya Kenya kwanza inakiuka katiba na huenda wafanyakazi wakakosa mishahara endapo wizara ya fedha haitawasilisha fedha kwa serikali za kaunti.