Baadhi ya wakaazi wa Trans Nzoia wataka kuvunjiliwa mbali kwa bunge la kaunti

  • | Citizen TV
    337 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wanataka kuvunjiliwa mbali kwa bunge la kaunti hiyo kwa sababu ya malumbano ambayo huenda yakalemaza utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kaunti hiyo.