Katibu wa uchukuzi Joseph Mbugua akagua miradi ya serikali Turkana

  • | Citizen TV
    370 views

    Katibu katika wizara ya barabara na uchukuzi mhandisi Joseph Mbugua amezuru kaunti ya Turkana kukagua miradi mbalimbali ya serikali ya kitaifa ikiwemo shule, hospitali na barabara kuu ya Kitale hadi Nadapal mpakani mwa Kenya na Sudan Kusini.