Hospitali ya East Community yaandaa kambi ya matibabu ya bure katika eneo la Kitengela

  • | Citizen TV
    359 views

    Hospitali Ya East Community Imeandaa Kambi Ya Matibabu Ya Bure Katika Eneo La Kitengela Kaunti Ya Kajiado. Wakazi Wamejitokeza Kupimwa Dalili Za Magonjwa Mbalimbali Ikiwemo Saratani Ili Kupata Matibabu Kabla Ya Kuzidiwa. Nancy Kering Na Taarifa Hiyo