Miradi ya maji yaazinshwa kupunguza uhaba wa maji Samburu

  • | Citizen TV
    186 views

    Wafugaji katika maeneo kame na hasw amaeneo ya kaskazini mw anchi wameraiwa kuhifadhi maji,haswa sasa ambapo mvua inanyesha ili kufaidika baadaye ukame utakapoanza. Uhaba wa maji umetajw akama chanzo kikuu cha migogoro baina ya jamii za Wafugaji huku wengi wao wakipoteza tegemeo lao la kujikimu pindi ukame unapoingia.