Masomo yameendelea kutatizika kwa juma la tatu

  • | Citizen TV
    408 views

    Waziri wa elimu Julius Migos kwa sasa anaandaa mkutano wa dharura na wakuu wa chuo kikuu cha Moi kuhusu mgomo wa wahadhiri. Licha ya usimamizi wa chuo hicho kuwafuta kazi wahadhiri wanaogoma katika juhudi za kuhakikisha masomo yanaendelea, bado hakuna mustakabali wa elimu