Mfanyakazi adaiwa kumuua tajiri wake wa miaka 78

  • | Citizen TV
    7,437 views

    Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanamke wa miaka 78 katika mtaa wa nyathaini eneo la Kasarani hapa Nairobi. Mshukiwa victor ambeye anadaiwa kumpiga mama huyo aliyekuwa muajiri wake, kumuua na kisha kuuficha mwili wake kwenye shimo la maji taka lililo ndani ya boma hilo.