Walimu 13 wamefikishwa mahakama ya Siaya hii leo

  • | Citizen TV
    276 views

    Walimu 13 waliokamatwa hapo jana kwa madai ya utovu wa nidhamu katika shule ya upili ya Nyamninia kaunti ya Siaya wameachiliwa leo kwa dhamana ya shilingi laki moja kila mmoja