Mwili wa Sharon Atieno ulipatikana eneo la Banana

  • | Citizen TV
    3,481 views

    Polisi kaunti ya Kiambu wanachunguza tukio ambapo mwili wa binti wa miaka 19 ulipatikana katika shamba la ndizi eneo la Banana. Mwili wa Sharon Atieno ulipatikana siku moja baada ya kuripotiwa kutoweka