Ziara ya Safaricom Sambaza furaha yafika Kericho

  • | Citizen TV
    319 views

    Ziara ya kampuni ya Safaricom kwa ushirikiano na royal media katika maeneo mbalimbali nchini kusherehekea miaka 24 tangu ilipoanza kutoa huduma imeingia siku ya pili. Msafara huu leo ukielekea kaunti ya Kericho ambako wakenya zaidi walizawadiwa kwenye mpango wa “Safaricom Sambaza furaha”