Marekebisho ya sheria ya ugavi wa mapato yatatiza

  • | Citizen TV
    532 views

    Kamati inayojadili marekebisho ya sheria ya ugavi wa pesa kwa serikali za kaunti kutoka shilingi billioni mia nne hadi billioni mia tatu na themanini ingali kuafikiana kuhusu mchakato huo. Haya yakifanyika huku maseneta na wabunge wakitofautiana pakubwa kuhusu malipo kwa kaunti na kwamba kubadili sheria ya mgao itakiuka sheria ya malipo.