- 55 viewsHali mbaya ya hewa na barabara mbovu zinaweza kufanya kupata dawa za kuokoa maisha katika maeneo ya mbali ya Kenya kuwa changamoto. Sasa, kampuni moja inatumia droni kupeleka vifaa vya matibabu kwa wale wanaohitaji. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Vifaa vya matibabu vyasambazwa kwa kutumia droni Kenya | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 19 Jun 2025 - Alcohol manufacturers are set to experience a slight relief in their production costs starting this coming financial year, 2025/26, following the decision by the government to slash the excise duty on Undenatured Extra Neutral Alcohol (ENA) from ABV-…
- 19 Jun 2025 - As election campaigns roll around every five years, Coast residents—like many Kenyans—brace themselves for a deluge of lofty promises. Politicians descend with pledges of transformation, only for the same issues to persist long after the ballot boxes…
- 19 Jun 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission last week crowed triumphantly that it had completed investigating five civil servants who used forged academic credentials to secure jobs or promotions, and their cases had been forwarded to the chief public…
- 19 Jun 2025 - The Government of Kenya has issued an urgent security advisory to all its nationals residing in Israel and Iran due to intensifying hostilities between the two Middle Eastern nations. In a statement released on Wednesday by Principal Secretary for…
- 19 Jun 2025 - Smaller counties have been handed a major boost after Senators unanimously endorsed a Ksh3 billion windfall to spur their economic development and bring them closer to ‘other’ counties. This is after the Senators approved the Fourth Basis for Allocating…
- 19 Jun 2025 - The country is quickly overcoming the anxiety occasioned by the health funding scare following the January Stop-Work order by US President Donald Trump. It has emerged that county governments are taking the lead in forestalling the apprehension by…
- 19 Jun 2025 - In Kenya, the right to picket, protest, or demonstrate is enshrined in the Constitution under Article 37, a powerful testament to the country’s commitment to freedom of expression and assembly. This right is a cornerstone of democracy, allowing…
- 19 Jun 2025 - NAIROBI, Kenya Jun 18 – Members of the National Assembly have backed the nomination of new National Police Service Commissioners (NPSC), emphasizing the urgent need for comprehensive reforms in the police service amid escalating public outrage over…
- 19 Jun 2025 - Kenya’s maternal mortality rate stands at an alarming 355 deaths per 100,000 live births, far above acceptable levels and well short of the UN’s Sustainable Development Goal of 70 per 100,000 by 2030. With only five years remaining to meet this target,…
- 19 Jun 2025 - Co-operatives Principal Secretary Patrick Kilemi faced intense scrutiny from MPs after admitting he could not account for the Ksh8 billion allocated to the Hustler Fund during the 2022/23 financial year. Appearing before the Public Accounts Committee (…