Kilimo Biashara | Wakulima washauriwa kupanda aina bora za nyanya

  • | Citizen TV
    133 views

    Wakulima wa tomato nchini wanahimizwa kutumia aina za nyanya zinazotoa mazao mengi ili kuongeza uzalishaji wao. Wito huu wa kuchukua hatua ikijiri baada ya kukamilika kwa mradi uliofaulu katika baadhi ya kaunti, ambao ulilenga kuongeza mavuno na kukabiliana na changamoto za uzalishaji.