- 603 viewsMamlaka nchini Ufaransa imeongeza ulinzi mjini Paris kabla ya mechi kati ya Ufaransa-Israel siku ya Alhamisi, kwa matumaini ya kuepuka kurejewa kwa ghasia mbaya kati ya wenyeji na mashabiki wa soka wa Israeli kama zilizotokea Amsterdam wiki iliyopita. Mechi ya Nations League itakayochezwa katika uwanja wa Stade de France inafanyika wakati kuna hali ya wasi wasi, huku uhusiano wa kidiplomasia baina ya Rais Emmanuel Macron na Kiongozi wa Israeli Benjamin Netanyahu unayumba kutokana na vita vya Israel huko Gaza. Takriban maafisa polisi 4,000 watalilinda tukio hilo, polisi wamepelekwa uwanjani, nje ya uwanja na kwenye usafiri wa umma, polisi mjini Paris ilisema. Maafisa polisi kadhaa na magari tayari yameanza kufanya doria nje ya uwanja wa Stade de France siku ya Jumatano mchana, wakati timu hizo mbili zikiwa katika mazoezi. #ufaransa #paris #mechi #nationsleague #emmanuelmacron #benjaminnetanyahu #israeli #voa #voaswahili
Ufaransa yaimarisha ulinzi kuepusha ghasia zilizotokea Amsterdam
- - Duniani Leo ››
- 18 Jun 2025 - Mali began construction of a new Russia-backed gold refinery on Monday, which the West African country's military leader said would take it closer to asserting control over its natural resources.
- 18 Jun 2025 - Senegal has postponed until June 23 the publication of its budget execution reports for the last two quarters, the finance ministry said in a statement, as the new administration works to rebuild investor trust after a hidden-debt scandal.
- 18 Jun 2025 - Families in pain as abductions, killings spark fresh fears
- 18 Jun 2025 - Why insurance regulator is reluctant to approve microinsurance products
- 18 Jun 2025 - Why African diaspora are choosing to settle in Kenya
- 18 Jun 2025 - I was rejected on Shark Tank Now I run a multi-million-dollar business
- 18 Jun 2025 - Kisumu's female coffin makers defy gender stereotypes
- 18 Jun 2025 - How police have turned cells into death traps for leaders' 'enemies'
- 18 Jun 2025 - Is Ruto fully in charge or is he held captive by allies in government?
- 18 Jun 2025 - Moi University defends sacking over 1,000 staff