- 635 viewsIdadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Lebanon tangu ilipoanza kuwapiga wanamgambo wa Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran, imefikia watu 3,365. Hesabu ya wizara ya afya ya Lebanon pia inasema idadi ya watu waliojeruhiwa imefikia watu 14,344. Jeshi la Israel IDF, limesema kwamba limeongeza operesheni zake za ardhini kusini mwa Lebanon, linapoendelea na mashambulizi ya anga mjini Beirut. Ndege za kivita za Israel zimeendelea kushambulia malengo ya Hezbollah kusini mwa Beirut, huku jeshi likidai kwamba linaendelea kuharibu darzeni ya mifumo ya kurusha makombora ya Hezbollah, nchini Lebanon. Israel imesema kwamba makamanda kadhaa wa Hezbollah wameuawa katika mashambulizi ya hivi karibuni kusini mwa Lebanon. Wanamgambo wa Hezbollah nao wamesema kwamba wameshambulia sehemu za kaskazini mwa Israel kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani na makombora. - AP #voaswahili #afrika #israel #syria #hamas #beirut #lebanon #hezbollah #malengo
Ndege za kivita za Israel zashambulia malengo ya Hezbollah kusini mwa Lebanon
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban