Marekani, Japan na Korea Kaskazini wafanya mazoezi ya kijeshi ya pamoja
Wanajeshi wa Marekani, Japan, na Korea Kusini wamefanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya kanda ya Asia Mashariki.
Mazoezi hayo ni mapana na ya mwisho kabla ya rais Joe Biden kuondoka madarakani na kukabidhi uongozi kwa Donald Trump.
Balozi wa Marekani nchini Japan Rahm Emmanuel amesema kwamba mazoezi hayo ya nchi tatu na ushirikiano wa kijeshi unatuma ujumbe mzito kwa Beijing.
Kamanda wa wanajeshi wa Korea Kusini katika mazoezi hayo Hur Sung Jae, amesema mazoezi hayo ni ujumbe kwa Korea Kaskazini kwamba wapo tayari kujibu hatua yoyote ya uchokozi.
Mazoezi yamefanyika baada ya Korea kaskazini kufanya majaribio ya makombora yake ya masafa marefu, mwezi uliopita.
#wanajeshi #marekani #japan #koreakusini #joebiden #mazoezi #donaldtrump
#koreakaskazini #beijing
5 Aug 2025
- The feature is set to revolutionalise how the messaging platform works.
5 Aug 2025
- The products have grown in popularity among women.
5 Aug 2025
- Details required to register a car in Kenya.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
6 Aug 2025
- Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
6 Aug 2025
- A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
6 Aug 2025
- A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
6 Aug 2025
- Why we should start thinking twice before having children
6 Aug 2025
- Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
6 Aug 2025
- Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
6 Aug 2025
- Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
6 Aug 2025
- The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban