- 1,666 viewsDuration: 3:37Bendera leo zilipeperushwa nusu mlingoti kwenye sherehe za mashujaa kaunti mbali mbali, ambapo kauli mbiu ilikuwa kwa wakenya kuiga aliyowacha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Vile vile, magavana wa chama cha ODM walichukua fursa hiyo kutilia mkazo azma ya chama hichokuunda serikali ijayo