20 Oct 2025 7:28 pm | Citizen TV 22,844 views Duration: 46s Rais mstaafu Uhuru Kenyatta leo amezuru kaburi la marehemu Raila Odinga katika eneo la Kang'o Ka Jaramogi siku moja baada ya mazishi yake ya kitaifa kufanyika hapo jana