- 2,401 viewsDuration: 4:25Zaidi ya wakenya 180 wametuzwa kama mashujaa kwenye sherehe ya mwaka huu ya mashujaa. Miongoni mwa waliotuzwa ni wachezaji wa harambee stars, wasanii waliotia fora kwa miziki yao na waja-siri-amali. Hapa runinga ya citizen, mwanahabari mwenza mwanahamisi Hamadi pia ametuzwa kwa kuangazia maswala ya wanawake kupitia kipindi chake cha mwanamke bomba