- 13,550 viewsDuration: 2:42Maaafisa wa polisi katika kituo cha Kabete hapa Nairobi wameanzisha uchunguzi kuwasaka wahalifu waliovamia shule ya upili ya Kabete na kuharibu mali katika shule hiyo na kuwaua walinzi wawili. Washukiwa hao walionaswa kwenye kanda za CCTV wanadaiwa kuwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo ambao walikuwa wamefukuzwa shule kwa muda