- 6,611 viewsDuration: 3:46Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International linaelezea wasiwasi kuhusiana na uhuru na uhaki wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, chini ya siku kumi kabla ya uchaguzi huo kufanyika. Shirika hili haswa likielezea kusikitishwa na ukiukaji wa haki za kibinaadamu hususan kwa wagombea wa upinzani, watetezi wa haki na wanahabari