20 Oct 2025 7:46 pm | Citizen TV 1,287 views Duration: 1:43 Huku taifa likisherehekea sikukuu ya mashujaa, wanamichezo katika mtaa wa Githunguri na shule zilizo eneo hilo wamemsherehekea mwalimu wa mchezo wa tae kwondo Ndung'u Ng'ang'a kama shujaa wao